Mawaziri watano waasi dhidi ya waziri wa usalama Fred Matiang'i

Baraza la mawaziri limekabiliwa na vita baada ya Rais Uhuru kenyatta kumteua waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang'i kusimamia maendeleo ya taifa.

Mawaziri wengine wameshiriki na rais Uhuru Kenyatta na wengine na naibu wa rais Uhuru kenyatta.

Hawaja furahishwa na mpango huo mpya kuwa matiang'i ni mkubwa wao katika sekta zao, licha ya kuto nyamaza Matiang'i aliweza kufanya mkutano wake wa kwanza na makatibu sita wa baraza la mawaziri  na viongozi wa kisiasa.

Makatibu wa 5 wa baraza la mawaziri kati 21walilieleza gazeti la star kuwa walipinga utaratibu uo mpya na kusema kuwa hoja si nanga katika sheria.

Wawili wa mawaziri walimuuunga rais mkono ilhali wawili walishiriki na naibu wake rais.

"Kama sheria inavyotujulisha sisi sote ni sawa,na pia sisi ni watendakazi ni vipi mwenzetu anaweza kutuandikia barua na kutuuliza tumueleza kwa kifupi maendeleo ambayo tunafanya," waziri mmoja aliuliza.

Hakuweza kutia kikomo katika swali yake lakini aliendelea na kusema,

"wacha tuone vile utaratibu huu utaendelea,lakini na wahidi kuwa kila kitu si kizuri,kuna kuongeza ukinzani."

Hata hivyo jana mawaziri sita waliughuria mkutano wa kwanza katika chumba cha Harambee na Matiang'i kama mwenyekiti wao.

Walio udhuria mkutano huo ni waziri wa maji Simon Chelugui, waziri wa usafiri James Macharia, (treasury chief administrative secretary) Nelson Gaichuchie, waziri wa ukulima Mwangi Kiunjuri na Joe Mucheru waziri wa (ICT).

Msemaji wa serikali Erick Kiraithe alisema kuwa hakuwa anajua kutonyamaza kwa waziri hao.

Katika utaratibu huo mpya waziri Fred Matiang'i atakuwa akipeana ripoti kwa rais Uhuru Kenyatta na kisha katibu ya hazina za baraza la waziri (treasury cabinet secretary) Henry Rotich kupitia ripoto hiyo.