bensouda

Je ni juhudi zipi ambazo zapaswa kuchukuliwa ili kuleta uwiano baadhi ya waathiriwa wa 2007|08?

Picha: venturesafrica.com

Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya ICC Fatou Bensouda jana ametaka kukabidhiwa kwa washukiwa watatu wanaodaiwa kuhusika na visa vya kuwahonga na kuwatishia mashahidi wa ICC.

Bensouda anawataka watatu hao Walter Barasa, wakili Paul Gicheru na Philip  Bett kupelekwa nchini uholanzi ili kufunguliwa mashtaka kwa tuhma hizo. Tayari waranti za kukamatwa kwao zimetolewa.

Je wadhani ni juhudi zipi ambazo zapaswa kuchukuliwa ili kuleta uwiano baadhi ya waathiriwa?

Comments

comments