Mbunge wa Nyakach Aduma Owuor Amekamatwa na maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC katika eneo la Kondele ,Kisumu kuhusu malipo yasiofaa ya shilingi milioni 68 kwa kampuni moja ya sheria yaliyotolewa na serikali ya kaunti ya Nairobi . Maelezo zaidi kufuatia ..