Otiende Amollo

Kanda ya video ya Otiende Amollo akipika sima yawafurashisha wakenya

Ni nadra sana kuwaona viongozi, haswa wa kisiasa humu nchini wakifanya kazi kama vile kupika au kufanya usafi.

Na labda hii ndiyo sababu iliyopelekea kanda ya video ya Mbunge wa Rarieda Otiende Amollo akipika kuwafurahisha watu mitandaoni.

Otiende Amollo
Otiende Amollo

Katika video hiyo, mbunge huyo anasikika akisema kwamba hatapika sima mbichi. Lakini aliwachekesha mno wageni wake alipoanza kulalamika kwamba moto ulikuwa mwingi kupita kiasa.

ata hivyo, hatujui iwapo wageni wageni wake waliridhishwa na upishi wake au la.

 

Watu mitandaoni walimsifu sana kwa umaruufu katika upishi wake huku wengine wakimtania kwamba anafaa kuwafunza viongozi wenzake kupika. Haya hapa baadhi ya maoni ya watu.

Enock Bett; Please proceed to Youtube, create a Vlog channel and start posting videos. I’m sure Youtube will pay you. Instead of complaining about your parliamentary salary.

Kits Moses; Tafta kitu inaitwa kamata next time😂😂

Charles Taylor Rerimoi; As a man what are u doing in kitchen in the first place? Leave alone cooking which is against African values of a man

Ralph; ongeza unga bwana.. ama hiyo ni kitoweo 😂

Oduorwambedha; With all the money you have Jesus? Get a better sufuria achana na sufuria ZA kawangware

Barno.Onyi; @OAmollo you’ve just motivated me. Nyaka ated kuon kawuono.

Mohammed Yusuf; wakili ma ok kuon yaye – mano nyuka

BONA‏; Unga Economics… Never add unga, bei iko juu

Valentine Opallo; Haa haa amollo min ot ni kanye

Read here for more

Photo Credits: Hisani

Read More:

Comments

comments