Mbusii Asakata Reggae Na Huddah, Mmoja Wa Vidosho Warembo Zaidi Nchini

huddah
huddah
Katika kipindi nambari moja nchini kwanzia mida ya saa tisa alasiri hadi saa moja jioni, cha Mbusii na Lion Teketeke watangazaji maahiri Mbusii na Lion deh, wana kitengo cha Gyal Dem Wednesday kila siku ya Jumatano ambapo husherehekea wanadada na kina mama wote nchini, haswa wapenzi wa muziki wa mtindo wa reggae.

Siku ya Jumatano, mmoja wa vidosho warembo zaidi nchini, Huddah Monroe aliyevuma kwa mitindo yake ya mavazi, na urembo wake wa kufana.

Alipokubali mwaliko wa Mbusii katika studio za Radio Jambo, Kidosho Huddah hakusita kwa kuonesha umaahiri wake wa kusakata muziki wa reggae huku akiwaacha Mbusii na Dj Dickie vinywa wazi!

Tazama kanda ifuatayo.

&feature=youtu.be