Mchagueni baby daddy wa mtoto wako vyema nywele ya mtoto wangu haikui-Cate Actress

Muigizaji Catherine Kamau almaarufu Cate Actress aliwaacha mashabiki wake na kicheko kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufichua nywele ya mwanawe haikui.

Alhamisi muigizaji huyo aliwashauri wanawake wafanye uchunguzi kuhusu wanaume ambao wanataka kupata watoto nao.

"Chagua baby daddy wako vyema nywele ya mtoto wangu haikui fanya uchunguzi vyema pris 😩 aliniambia  nywele ya mama yake ni nzuri 

Na nikakubali na kumuamini  Oooooliskia , wapi ?😂." Aliandika Cate.

https://www.instagram.com/p/CErfmMinDF4/

Hata hivyo mumewe Cate alijitetea kwa ajili ya madai hayo na kysema kwamba,

"Nilikuwa nimevaa shati lenye maua na nilianzisha mazungumzo kama wakenya wenzangu?...akili yangu huniangusha." Karanja alijibu.

Ni mazungumzo ambayo yaliibua hisia mseto kwenye mtandao huo na hizi happa baadhi za hisia za wakenya na mashabiki wao;

 :😂🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣Argh! Evening made

 :You can't Phil anything on the baby's head? 🙆‍♂️🙆‍♂️

 :Mm sinagaa eyebrows😂😂😂😂😂

 :🤣🤣😂 uliza yeye ni dengu tu

Woi poleni Aki I cant relate 🤣🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣 Wooooi! ni arudi kwao huyu

 : Mayoooo 🤣🤣🤣

 :🤣🤣🤣🤣🤣 pole babe