EW65pO1X0AAqkBD

Mchakato wa kutafuta miili ya maafisa waliosombwa na mafuriko imeanza

NA NICKSON TOSI

Shughuli ya kutafuta miili ya maafisa waliosombwa na mafuriko katika kaunti ya Baringo imeng’oa nanga katika mtoo Kagir.

Kufikia sasa miili 3 kati ya sababu iliyozama imepatikana .

Maafisa 7 wa polisi hawajulikani waliko baada ya gari lao kusombwa na mafuriko

tazma picha hizi

ImageImageImage

Kivuko cha Mauti! Watu wanne waangamia baada ya boti kupinduka mto Kerio

Maafisa hao wa usalama walisombwa na mafuriko hayo walipokuwa katika harakati za kulinda usalama.

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments