Mcheshi Chipukeezy ashangaza wengi na hili vazi la kufuzu chuo kikuu

Screenshot_from_2019_12_09_07_00_22__1575892863_87298
Screenshot_from_2019_12_09_07_00_22__1575892863_87298
Mcheshi Chipukeezy amewashangaza wafuasi wake kwenye mitandao baada ya kuonekana na gauni ya kufuzu

Wengi walishangaa kwani hawakujua kama huwa anasoma katika chuo kikuu cha Mount Kenya.

Chipukeezy anajulikana sana kwa tajriba ya kuchekesha watu.

Mastaa na wasanii walimpongeza  kwa kuafikia lengo hii ya kufuzu na digrii.

Hata hivyo haijabainika ni digrii gani alikuwa anasomea na anwani ya kozi.

Tazama jumbe za mashabiki na marafiki:

Munene735 Macelebs ata hawasemangi course zenye wamegraduate😂😂

kings8461 Hii nikama wewe umejishonea🤣🤣🤣

kevo_musyo Enyewe mkamba Lazima aekwe Maua😂😂

opole_vincent Hii ni kununua gown, kuvaa na kupost nayo picha mbele ya gate ya shule😂😂😂 anyway congrats bro

Bravaon_Unaona vilee imekuwa ngumu kupatana Ni Kipchoge mpige picha ukamua kufanya cropping the same case applies to as kuwafikia wengine wenu😂😂