Meneja wa Sauti Sol, Marek Fuchs, ana nyumba ya kutamanika (picha)

Chumba cha maamkuli
Chumba cha maamkuli
Nyumbani ni mahali mapenzi yako.

Kila mmoja wetu hupenda kurudi kwenye nyumba yenye nafasi na  iliyo pambwa vizuri. Annabel Onyango anaishi ndoto hii kwani nyumba yake ni hayo na zaidi.

Annabel ambaye ameolewa na meneja wa Sauti Sol, Maek Fuchs ni msanii wa mitindo. Amefanya baadhi ya marembesho kwa nyumba yake mwenyewe.

Tunapata onyesho la nyumba yake kupitia picha alizoweka Annabel, ambaye anapenda sana mapambo yenye asili ya Kiafrika.

Katika chapisho yake moja anaeleza picha hiyo akisema,

''Nyumbani ni mahali upendo uko.''

Anaandika hivi kwa ingine,

''Kuna huzunisha inje, ila nahisi vizuri sana kurudi nyumbani.''

Tazama nyumba yake.

Chumba cha maamkuli

sebule

Chumba cha wageni

 Chumba cha malazi cha Annabel

Baadhi ya maono yanayoashiria kuwa nyumba ya Annabel Onyango ni nyumba ya kutamanika na ya kuigwa ni haya hapa;

mumenough: The wall art is so well done. Picked a few ideas

ritah_wanjiru: Your interior is goals💚

winnieoty: Beautiful spaces!!👌

armstrongtheblackpearl: Great interior over there…

burgundyplace_interiors: Loving the mud cloth bed runner, such an amazing piece

nanjalaedna: You have STYLE Mamah👌👌

alma_eunice: Creativity on another level

bernoberland: Aki your whole house looks like pages right out of a catalogue😩🔥🔥

lwakiyu: Your home is beautiful…everything is unique.