saumu

Mgeni njoo mwenyeji apone: Saumu Mbuvi ajiandaa kukaribishwa mtoto wa pili.

Saumu Mbuvi mwanawe gavana tatanishi wa kaunti Nairobi Mike Sonko anajianda kukaribisha ulimwenguni mwanawe wa pili.

Saumu alitangaza hayo wakati alipokuwa anawapa chakula watoto wanaorandaranda mitaani zaidi ya 100 kama njia ya kuadhimisha Valentino.

 Image result for saumu mbuvi pregnancy photos
Katika ujumbe  wake aliouwandika kwa ukurasa wake Saumu alisema kujumuika na watoto hao ni njia mojawapo ya kukaribisha kuzaliwa kwa mwanawe wa pili.
Haya ndiyo Saumu aliyoandika kwa mtandao wake.

Wanna know how I spent my valentines; woke up very early …pregnancy hormones though hata kama I was feeling lazy,” she jotted down on one of her Instagram post. “Cooked for more than 100 street kids and I really thought this won’t go through …but look at God.”Alisema Saumu.

Aliongeza kuwa kurusidisha mkono kwa jamii kwa kuwasaidia wasiojiweza ni njia mojawapo ya kuinua maisha ya wasiojiweza.

Aidha Saumu aliwatania waliofikiria kuwa angeanda sherehe kubwa ya kukaribisha uzao wa mwanawe na kuwandika hivi kama jibu kwa waliofikiri ataandaa sherehe.

And sorry to anyone expecting a classy baby-shower from me …this is all that my heart wanted,” Alisema Saumu.

Katika Ujumbe mwengine Saumiu alisema angependa kuona maisha ya kila mkenya yakibadilika bali nsio tu ya watoto ambao alikuwa anajumuika nao .

Aliandika hivi katika ukurasa wake.

‘I pray to see a better future, a future where there will be a shelter home for all these amazing souls,”  “Churches and the government, I’m sure something can be done, so many of these kids don’t even know where they came from.”Alindika Saumu.

Image result for saumu mbuvi pregnancy photos

 

Photo Credits: radio jambo

Read More: radio jambo

Comments

comments