Mhubiri Burale aeleza jinsi ameweza kuishi miaka mitano bila kushiriki ngono

pastor.burale
pastor.burale
Mhubiri Burale aliwashangaza wengi alipofichua kuwa ameishi kwa miaka mitano bila kushiriki ngono.

Burale ambaye ni mwandishi wa vitabu na pia mwana sinema, alikuwa akizungumza katika kipindi cha Bustani la Massawe, kitengo cha ilikuwaje.

Mwaka uliopita ndoa yake na aliyekuwa mkewe Rozinah ilivunjika baada ya mwaka mmoja huku mkewe akidai kuwa mumewe alikuwa na deni chungu nzima huku pia tabia zake hazikuwa zikimfurahisha.

Lakini aliwezaje kukaa bila kushiriki ngono kwa miaka mitano?

By the Grace of God. Bibilia inasema only a fool sits on fire and does not expect his bum to be burned, what you do you avoid situations that may take you to that area, nina hisia za mwanadamu kwanza mimi ni mluhya.

It is possible, and that is why I decided never to judge anybody based on what people say because the first time I said watu walisema ni uwongo hata ma pastor wakasema nadanganya lakini I know deep down ni ukweli.

Nothing distracts me it's just because I hide under God. I'ts not by my own power this is flesh and blood.

Pata uhondo kamili.