'Miaka yangu ya kungoja ilikuwa inatisha,' Msanii Kambua asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe

Mtangazaji na msanii wa nyimbo za injili Kambua hii leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe  Nathaniel Muhoro baada ya kufikisha mwaka mmoja tangu azaliwe.

Huku akisherehekea siku hiyo ya kipekee aliandika ujumbe wenye mahabara kwa mwanawe, huku watu mashuhuri wakituma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii.

"Zawadi yangu kutoka mbinguni amefikisha mwaka mmoja hii leo, si Mungu ni mwema? Happy birthday my sweet little boy 💙💙💙." Kambua Aliandika.

Mtoto wangu Nathaniel ni muujiza ni mbadilishi maneno na hata mwenye historia kama vile mume wangu husema na ni naamini kuwa maisha yake yatazidi kuleta utukufu wa Mungu,"

Hizi hapa jumbe za baadhi ya mashabiki wake;

Kate Actress: Happy birthday baby Nate you are such a blessing , may God protect you and favor you all the days of your life ❤️❤️ well done Mami

Grace Msalame:Awww how time flies!! Happiest Birthday to your beautiful bundle of joy Mama🎂🤗💙

Shiks Kapienga:Aaawwwww Happy Birthday to him ❤

Timeless Noel:Happy Birthday NATE 🥳

Ben Cyco: Happy birthday to him, such a blessing 🎂🙏

Wanjiru Njiru:Happy birthday to him❤️❤️”

Karwirwa Laura:Happy Birthday our sweet bubba💙💙💙”

Joyce Omondi:Happy 1st birthday to baby Nate! And he's already a techie 😋”