BURIANI:Michael Olunga amuomboleza kocha Omino

Henry-Omino
Henry-Omino
Familia nzima ya mpira wa kandanda humu nchini yaomboleza kifo cha kocha Henry Omino. Kocha huyo aliugua saratani ya tezi, na kuaga dunia Ijumaa machi, 20.

Kifo cha Omino kilitangazwa na shirikisho la soka humu nchini FKF kupitia akaunti yake ya mtandao wa twitter.

"OUR HEARTFELT CONDOLENCES GO OUT TO THE FAMILY AND FRIENDS OF IMMEDIATE FORMER KISUMU ALL-STARS COACH HENRY OMINO WHO PASSED ON EARLY FRIDAY MORNING.

MAY HIS SOUL REST IN PEACE, AND MAY HIS FAMILY AND FRIENDS FIND SOLACE DURING THESE TRYING TIMES." Waliandika.

Katika taaluma yake ya ukufunzi, alifunza vilabu vya Western Stima, Agro-na Kisumu Posta.

Kifo chake kimejiri wakati ulimwengu unakabiliana na virusi vya corona na kupelekea kusitishwa kwa shughuli zote za kandanda duniani, huku takriban watu elfu tano wakiaga kutokana na ugonjwa huu.

Mchezaji wa kandanda nchini Michael Olunga Ogada amewaongoza mashabiki na wachezaji kumuomboleza kocha huyo.

Hizi hapa baadhi za rambi rambi za mashabiki na marafiki;

Ogada Olunga  I wish to extend my heartfelt condolences to the family of the late Coach Henry Omino.

Thank you for the immense contribution in moulding greater talents in the Kenyan football fraternity . RIP

R.O Sports Our hearts are saddened by the sudden loss of one of Kenya’s most iconic & legendary football managers ; Coach Omino. Our sincere condolences, thoughts & prayers with the family during this dark hour. We will forever celebrate you ‘Mario Zagalo’

Ronald Okoth I’m deeply saddened to learn about the death of my former coach & friend Mr Henry Omino. A legend who gave me my first ever real experience in the KPL with Western Stima & had immense trust & faith in me. Rest well ‘Mario Zagalo’. A Kenyan football legend has fallen

Michelle Katami Zagalo has http://rested.Coach Henry Omino succumbed to cancer. He had a way with players kwanza at Western Stima, team was solid.. His contribution to Kenyan football was immense, a talent developer. Last assignment was Kisumu All-Stars. Condolences to family & friends..RIP