Uongozi butu! Nick Mwendwa atangaza Gor Mahia kuwa washindi wa Ligi na kuleta mvutano

NA NICKSON TOSI

Hatua ya rais wa shirikisho la soka nchini Nick Mwenda ya kuwatawaza Gor Mahia taji msimu huu 2019-2020 kabla ya kutamatika imeibua hisia kubwa kwa wapenzi wa soka.

Wasimamizi wa KPL wamejitokeza na kutupilia mbali wazi hilo wakisema uamuzi huo hajafuata vigezo.

Ligi kuu ya humu nchini ilikuwa imesitishwa kutokana na janga la Corona