Florentin Pogba ajiunga na klabu ya Sochaux

_112336810_florentinpogba
_112336810_florentinpogba

Nduguye Paul Pogba ,Florentin Pogab amejiunga na klabu ya divisheni ya pili ya Sochaux ,taarifa ambazo zimedhibitishwa na usimamizi wa klabu hiyo.

Florentin wa miaka 29,ametia kandarasi ya miaka 3 .

Alizaliwa katika mji wa Conakry na aliichezea timu ya Ufaransa ya chioukizi kabla ya kuanza kuichezea timu ya taifa ya Guinea.

Aliamnzia taaluma yakekatika klabu ya Celta vigo Uhispania na kujiunga na Saint Etiene ya Ufaransa .

Sochaux  kwa sasa wanashikilia  nafasi ya 14 katika ligi ya divisheni ya Pili kbabla ligi hiyo haijasitishwa.