Pigo kwa Watford,Wachezaji wawaili zaidi wawekwe kwenye karantini baada ya kuonyesha dalili za corona

skysports-nigel-pearson-watford_4858436
skysports-nigel-pearson-watford_4858436
Wachezaji wawili wa klabu ya Watford wamewekwa kwenye karantini baad ya kutangamana na waathiriwa wa virusi vya corona ,taarifa ambazo zimedhibitishwa na meneja wa timu hiyo Nigel Pearson.

Wachezaji hao ambao hawajatajwa majina yao kamili ,inadaiwa kuwa walitangamana na Adrian Marripa na wafanyakazi wawili ambao kufikia sasa wametengwa baada ya kupatakana na virusi hivyo.

"The testing situation is obviously to minimise risk, so for the players and staff who have been in this week statistically they should be a lot safer but it is still a surprise for those who have tested positive," amesema  Pearson .

Pearson amesema kuwa japo wachezaji hao wametengwa kutoka kwa kikundi cha wengine ,wote wako katika hali nzuri .

"They're all feeling OK, and likewise for their families as well. That is important for us to make sure that those people - their health is OK.amesema Pearson

Kurejelewa kwa msimu wa ligi kuu Uingrereza huenda kukalemazwa kutokana na   visa ambapo wachezaji wameanza kupatikana na virusi hivyo, hali inayotia maisha ya familia zao hatarini.

Wiki jana nahodha wa klabu hiyo Troy Deeney alisema hatorejea kamwe hadi pale hali itakapokuwa imetulia Uingereza kutokana na idadi kubwa ya maambukizi inayoshuhudiwa.