'Nilikuwa nataka kukupigia simu wiki jana,'Jacque Maribe amuomboleza Allan Makaka

Mtangazaji Jacque Maribe ana omboleza kifo cha ghafla cha mchezai wa raga Allan Makaka ambaye aliaga dunia baada ya kuhusika kwa ajali mbaya ya barabara.

Ajali hiyo ilitokea katika barabara kuu ya Mombasa tarehe,23 Mei baada ya kugonga trela.

Makaka,37, alikuwa meneja wa biashara wa kampuni ya  Royal Media Services’ Hot 96 FM, alichezea timu ya raga ya Kenya na kuwapa ushindi kati ya mwaka wa 2004 hadi 2005.

Kampuni ya Royal media services ilikuwa na haya ya kusema kwa ajili ya utendakazi wa Makaka,

“IT IS WITH GREAT SADNESS THAT WE ANNOUNCE THE PASSING ON OF OUR COLLEAGUE ALLAN MAKAKA, BUSINESS MANAGER IN THE COMMERCIAL DEPARTMENT THROUGH A TRAGIC ROAD ACCIDENT.”

Jacque Maribe ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa Allan Makaka, alituma risala za rambirambi,

“I DON’T EVEN KNOW WHAT TO SAY. AND I LITERALLY WANTED TO CALL YOU LAST WEEK WE LAUGH ABOUT SOMETHING. THIS IS SO DEVASTATING ALLAN YOU CAN’T JUST DIM YOUR LIGHTS LIKE THAT. AND YOU ALWAYS CALLED ME COUSIN. SLEEP WELL, TUTAONANA BAADAYE." Ulisoma ujumbe wake.

Baadhi ya wacheza raga na wananchi walituma pia rambirambi zao na kumsifu Makaka kwa kazi yake nzuri;

Cleophas Malala It is with profound sadness of heart that I have learnt the untimely demise of a friend and a brother ALLAN MAKAKA.Our friendship spans from the days when we were both pupils at St. Peter’s Mumias Boys Primary and later at UNITED STATES INTERNATIONAL UNIVERSITY.

Willis Raburu RIP Allan Makaka you guy, you guy, my guy. Always the life of the office! Rest well bro.

Kenya Rugby Union It is with deep sorrow that we have learnt of the passing of Allan Makaka following a traffic accident on Saturday 23 May 2020. A warm individual off the pitch, Allan’s death is indeed a huge loss to his family, friends, colleagues and the rugby fraternity. May God grant his family, friends, team mates and colleagues strength during this trying time.

Shujaa Pride We are deeply saddened by the death of former #Kenya7s International player Allan Makaka who passed away today in a tragic road accident. Our most sincere condolences goes out to his family and friends. Rest in Peace Champ.