Huenda luiz alicheza mechi yake ya mwisho- Arteta

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amefichua kuwa huenda mlinzi David Luiz alikuwa anaichezea klabu hiyo mechi ya mwisho.

Luizi aliingia dakika ya 20 katika mechi yao ya ligi kuu ya uingereza dhidi ya Man City ambayo walipoteza kwa magoli 3-0 na kufurushwa uwanjani dakika 9 baadaye baada ya kupewa kadi nyekundu.

Mkataba wake unatarajia kufikia kikomo mwezi huu wa Juni 30 .

 “I don’t know. He is very open, he is a leader. I was sure he was going to speak to everybody and he is very direct. That’s what I like and value from him and I’m going to defend him with everything I have.“He’s shown me a lot of things in his time here and his career speaks for itself.” Arteta alisema

Luiz baada ya kumalizika kwa mtanange huo alikubali makosa yake baada ya kukashifiwa kusababibisha goli la kwanza lililofungwa na Sterling na kusababisha penalti ambayo ilifungwa na De Bruyne.

Arteta hatamhivyo amesema kutokana na ukosefu wa pesa katika kalbu hiyo huenda watamruhusu Luiz kuondoka.

“We cannot forget the financial situation and the way COVID-19 has hit every club and the economy,” he said. “We have to make big decisions.“We have also accepted pay cuts, not only the players but also the staff and board in order to help the situation. There are consequences and the people running the club don’t want to put it in a difficult situation.” Arteta