Picha ya 'Black Lives matter' iliyokasorisha ulimwengu mzima

Italy_Soccer_Serie_A_73357
Italy_Soccer_Serie_A_73357
Klabu ya Torino kwa sasa imejipata taabani baada ya kuchapisha picha ya kuhamasisha watu kuhusu mpango wa 'Black Lives matter'

Timu hiyo ya Italia, iliyo kwenye ligi kuu ya Serie A, ilichapisha picha ya mchezaji wake Nicolas Nkoulou akipiga goti baada ya kufunga bao, huku akimkumbuka, George Floyd aliyeuliwa na polisi Marekani.

Shida kuu haikuwammchezaji huyo kupiga goti, ila mbele yake kulikuwa na mchezaji mzungu na picha hiyo ilikuwa inaashiria kuwa jamaa mweusi anampigia mzungu goti.

Tazama picha hiyo,

https://twitter.com/TorinoFC1906_En/status/1274447242875809794?s=19

Picha hiyo iliwakasirisha watu wengi duniani, kando na mashabiki wa kadanda.

Soma baadhi ya maoni yao,

Adnan : I'm really closed to believe that racism was invented by Italian

Mah : Worst pic I've seen lmao regardless of what you're trying to do it didn't work.

Top boy : This is the worst possible picture you could've used lol

Mercy : What is this racist picture??

Behelitman : Slavery depicted with sucess.

Shawn : Italians don’t even try to hide the racism. It’s appalling.

Emmy: Wtf is this

Italians are always doing the worse .... They don't hide their own racism 😑

Michael : torn between how explicitly racist you have to be to post this on purpose and how implicitly racist you have to be to post this by accident