Kocha wa Harambee Stars Francis Kimanzi ajiuzulu

Muhtasari
  • Kocha wa Harambee Stars Francis KImanzi ajiuzulu

Kocha wa timu ya mpira wa kandanda Harambee Stars Francis Kimanzi amejiuzu, kulingana na ripoti ya soka nchini FKF ilisema ya kwamba kocha huyo alijiuzulu baada ya makubaliano.

Haya yanajiri siku chache baada ya uchaguzi mkuu kufanyika katika soka FKF huku Nick Mwendwa akiibuka mshindi.

Swali kuu ambalo limesalia akilini mwa mwashabiki watimu hiyo ni kwamba nini shida na soka ya humu nchini na je kocha huyo amejiuzulu jinsi ripoti imesema au amefutwa kazi?