Hii hapa orodha ya wanakandanda ambao wana magoli mengi katika historia

Muhtasari
  • Orodha ya wachezaji wa kandanda ambao wana magoli mengi katika historia
  • Lionel Messi anyakua nafasi ya nne katika historia hiyo
argentina
argentina

Michuano na mechi kati ya timu bingwa za kandanda zimekuwa zikishuhudiwa huku wanakandanda wakifunga magoli katika kila mechi.

Lakini wafaha u ni magoli ngapi ambayo wacheaji wako tajika wamefunga tangu waanze kucheza kandanda?

Kati ya mechi hizo kuna wale wachezaji ambao wana magoli mengi huku mchezaji Messi akichukua nafasi ya nne katika orodha ya wachezaji hao.

Hii hapa orodha ya wanakandanda 13 ambao wana magoli mengi katika historia ya kandanda;

1.Pele magoli 767

2.Cristiano Ronaldo magoli 742

3.Romario magoli 734

4.Lionel Messi magoli 721

5.Gerd Muller magoli720

6.Ferenc Puskas magoli 706

7.Josef Bican magoli 636

 

8.Eusebio magoli 615

9.Ferenc Deak ana magoli 558

10.Arthur Friedenreich naye ana magoli 554

11.Zlatan Ibrahimovic magoli 552

12.Zico magoli 525

13.Akfredo Di Stefano magoli 516