Diego Maradona: Maisha ya nyota huyo wa Argentina kwa picha

Muhtasari

• Diego Maradona alikuwa mchezaji mwerevu kupita kiasi.

• Umaarufu wake pekee haumtendei haki.

Diego Maradona - akionesha kombe la dunia 1986, wakati wa mazoezi pamoja akiwa na mkewe wa zamnai Claudia na mwanawe wa kike Dalma na Gianina. (GETTY IMAGES)

Umaarufu wake pekee haumtendei haki,. Diego Maradona alikuwa mchezaji mwerevu kupita kiasi katika uwanja wa mpira na mtu aliyezua utata.

Kutoka nchini anakotoka Argentina hadi ufanisi alioupata Itali, ushindi wake wa kombe la dunia na utumizi wa mihadarati uliomuangusha , tazama maisha yake katika picha.

Maradona alicheza mechi ya fainali ya kombe la dunia akiiwakilisha Argentina mwaka 1982 nchini Uhispania lakini alikuwa maarufu miaka minne baadaye. (GETTY IMAGES)

Kulikuwa na utulivu kabla ya kimbunga: Walisaliamiana kwa mkono na kipa wa England Peter Shilton kabla ya kombe la mechi ya robo fainali ya kombe la Dunia nchini Mexico mwaka 1986. (GETTY IMAGES).

Goli la hand of Gold dhidi ya England , lilifuatiwa na goli bora la Karne. (GETTY IMAGES).

Alikuwa mchezaji wa kivyake: Maradona alitangazwa kuwa mchezaji bora wa FDimba hilo la Dunia baada ya kuisaidia Argentina kupata ushindi 1986, mbali na kuisaidia timu hiyo kufika fainali miaka minne baadaye. (REX FEATURES)

Alikuwa mfalme: Maradona alikuwa mchezaji nyota na maarufu katika klabu ya Naoli nchini Itali ambapo alijishindia Kombe la Uefa mwaka 1989 pamoja na mataji mawili ya ligi. Tishati Nambari 10 ilihifadhiwa kwa niaba yake (GETTY IMAGES)

Maradona, katika picha hii ya 2001, alitatizika na utumizi wa dawa za kulevya na masuala ya kuongeza uzito. (GETTY IMAGES)

Maradona, akiwa kocha wa taifa wa Argentina akitoa hekima yake kwa mshambuliaji Lionel Messi katika kombe la Dunia la 2010 ambapo walishindwa kwa magoli 4-0 na Ujerumani katika awamu ya robo fainali. (GETTY IMAGES)

Maradona akipiga picha na bango la picha yake wakati ambapo timu yake ya taifa Argentina ilikuwa ikicheza dhidi ya Nigeria katika kombe la Dunia lililoandaliwa Urusi 2018.(GETTY IMAGES)

BBC