•Tim ya Fulham United ,yakubaliana na klabu ya Burnley ili kumsajili kiungo mkabaji mzawa wa Norway,kwa kima cha £25m ili kujinga timu hiyo ambayo ilimaliza katika nafasi ya 10 msimu jana.
Timu ya Fulham inayoshiriki katika ligi kuu nchni Uingereza sasa imeboresha mazungumzo na klabu ya Burnley inayoshiriki ligi ya daraja la pili ligi humo kuhusu swala la kumsajili kuingo mkabaji wa timu hiyo Sanda Berge baada ya mkataba wake na klabu hiyo ya Burnley kutamakita.
Timu ya Fulham ambayo ilimaliza katika nafasi ya 10 na alama 52 katika msimu jana.Fulham wameonyesha uwezo wa kumsajili kiungo huyo kwa kima cha £25m ili kujiunga na timu hiyo ili kuboresha safu ya ulinzi na vile vile utafutaji mabao .
Berge ,alianzisha taaluma yake kama mchezaji katika klabu ya Asker .Aidha ,Berge alicheza katika kombe la masikio Champions League na klabu ya RB Salzburg na kuzidi ,kuimarika zaidi.
Mreno Marco Silva ,ambaye ni kocha mkuu wa Fulham ,ameonyesha kujituma hasa katika kukipanga kikosi ambacho ni hodari ili kuwania mataji katika shirikisho la Uingereza.
Fulham United, ilipigwa bao moja kavu na timu ya ManchesterUnited katika mechi ya ufunguzi wakiwa ugenini .