Orodha ya Dili Kubwa Zilizokamilishwa Siku ya Mwisho ya Uhamisho wa Januari

Siku ya mwisho ya uhamisho ilikuwa na shughuli nyingi huku wachezaji kadhaa wakibadilisha vilabu.

Muhtasari

•Dili ambazo zilikamilishwa kabla ya muda wa makataa zilikubaliwa na wachezaji husika sasa watachezea vilabu vyao vipya.

Jorginho, Enzo Fernandez, Marcel Sabitzer
Image: HISANI

Dirisha la Uhamisho la  mwezi Januari lilifungwa rasmi mwendo wa saa nane usiku wa kuamkia Jumatano, Februari 1. (majira ya Afrika Mashariki)

Siku ya mwisho ya uhamisho ilikuwa na shughuli nyingi huku wachezaji kadhaa wakibadilisha vilabu, baadhi kwa uhamisho wa kudumu na wengine kwa mkopo.

Dili ambazo zilikamilishwa kabla ya muda wa makataa zilikubaliwa na wachezaji husika sasa watachezea vilabu vyao vipya.

Chini hapa kuna orodha ya wachezaji waliohamia klabu mpya mnamo siku ya mwisho ya uhamisho:-

1. Jorge Luiz Frello Filho Cavaliere almaarufu Jorginho (Chelsea - Arsenal) £12m

2. Albert Sambi Lokonga (Arsenal - (Crystal Palace) - Mkopo

3. Cedric Soares (Arsenal-Fulham) -Mkopo

4. Marcel Sabitzer [Bayern Munich - Manchester United] Mkopo

5. Pedro Porro [Sporting Lisbon - Tottenham] £40m

6. Enzo Fernandez (Benfica- Chelsea)  £106m

7. Keylor Navas (Paris St-Germain - Nottingham Forest)  Mkopo

8. Jonjo Shelvey (Newcastle - Nottingham Forest)  Ada isiyofichuliwa.

9. Felipe (Atletico Madrid - Nottingham Forest)  Ada isiyofichuliwa.

10. Harrison Ashby (West Ham - Newcastle) £3m

11. Kamaldeen Sulemana (Rennes - Southampton)  £22m

12.  Paul Onuachu (Genk - Southampton) Ada isiyofichuliwa

13. Harry Souttar (Stoke - Leicester) £20m

14. Hamed Traore (Sassuolo - Bournemouth) Mkopo

15. Illia Zabarnyi [Dynamo Kyiv - Bournemouth] Ada isiyofichuliwa

16. Sasa Lukic  [Torino - Fulham] Ada isiyofichuliwa.

17. Diogo Monteiro [Servette - Leeds] Ada isiyofichuliwa

18. Axel Tuanzebe [Man Utd - Stoke] Mkopo

19.  Marquinhos [Arsenal - Norwich] Mkopo

20. Matt Doherty [Tottenham - Atletico Madrid] Uhamisho Huru

21.  Djed Spence [Tottenham - Rennes] Mkopo