Miguna Miguna akejeli chama cha Mwangi Kiunjuri

Wakili tatanishi Miguna Miguna amempongeza aliyekuwa waziri wa kilimo nchini Mwangi Kiunjuri kwa kuzindua chama chake kipya cha The Service Party japo akakikejeli na kukifananisha na kile cha Jubilee Asili kilichozinduliwa na viongozi wanaogemea upande wa naibu rais William Ruto.

Miguna aliandika ujumbe 'Tuko Sote Pamoja' ukiashiria kuwa huenda ni chama kitakachojiunga na kile kilichozinduliwa hivi maajuzi.

"Congratulations Mwangi Kiunjuri for birthing a new political party, The Service Party (TSP). We need more vibrant political parties; not less. I've noticed the clever use of "TSP" - Tuko Sote Pamoja!. Uhuru Kenyatta doesn't own Kenya!," Miguna .

Kiunjuri alikizindua chama hicho hiyo jana miezi sita tu baada ya kutimuliwa na rais Kenyatta Januari.

"I’ would like to introduce the entry of The Service Party of Kenya (TSP) into Kenya’s politics… We have made the commitment to bring forth a platform that will be unequivocal about service delivery to our people as our name suggests. I promised in January that I’d be back.I thank God for enabling me to keep this promise. As The Service Party we come full of hope in the believe that service to our people will redefine Kenya’s politics. We believe impactful politics is not a reserve of the big parties ,"  Kiunjuri.

Hapa ni baadhi ya jumbe za watu wakijibu ujumbe wa Miguna katika mtandao wa Twitter.

"That's a clever observation, general,"lawyer Steve Ogolla wrote.

"Miguna I am disappointed, what makes you happy and this man was implicated in many scandals, you are now becoming a despot also you should not support such things," Nyatika Nyaosi

"That yellow colour and initials matches TSP "Tuko sote pamoja","Lizzet Lizito