'Mimba yaweza kupa uchovu mwingi,' Asema Milly wa Jesus

Baada ya kutangazwa kuwa wanatarajia mtoto, Milly alichapisha kwa vyombo vya habari safari yake ya uja uzito.

Alisema kuwa uja uzito yake unachukua nishati nyingi.

Katika chapisho lake alisema kuwa,

Uja uzito una uchovu na unachukua nguvu nyingi. Kudekezwa kidogo kunafaa. Nimebarikiwa kutembea nawe katika safari hii. Unafanya nihisi vizuri ninapokabiliana na mabadaliko haya mapya @kabiwajesus. Najihesabu mbarikiwa kwa sababu yako. #bibinabwana #kupendwa

Mumewe alijibu,

Nilifanya nini ili kukustahili? 😭😭😭 kila neno linalotoka kwako ni la hekima, wema na upendo. Nakupenda sana❤️❤️❤️ Moyo wangu huyeyuka kwa maneno kama hayo.

Walipo tangaza kuhusu uja uzito wao kwa mtandao wa YouTube, umaarufu wao uliongezeka, na wakapata mfuato kubwa na pia kuna mashabiki ambao walithibitisha kuwa kuna ndoa ambazo hudumu.