'I miss him,' Lulu Hassan amkumbuka mwanahabari Ahmed Darwesh

Mwanahabari wa runinga ya Citizen Lulu Hassan, aliposti picha ya kitambo kidogo akiwa na mwanahabari Mwanaisha Chidzuga, Anne Ngugi na mwendazake Ahmed Darwesh.

Ni picha ambayo iliwakumbusha wengi kuhusu mwendazake Ahmed na kisha kutoa maoni yao.

Mwanahabari huyo aliyekuwa anafanya kazi katika runinga ya KTN aliaga dunia Desemba 2015 na kuacha mjane mmoja na watoto wawili.

‘MEMORIES ARE MADE OF THIS 😊😊

#TEAMKTNLEO."Lulu Aliandika.

Anne Ngugi naye hakuwachwa nyuma alikuwa na haya ya kuandika,

‘Hehe here I was quite massive oh quite a knowledgeable game changer team’

Naye Ali Manzu aliandika,

MUNGU AMREHEMU MAREHEMU DARU.

Mwanaisha Chidzuga alikuwa na haya ya kunakili

#LEGENDS..😍😍😍😍 🔥🔥🔥MUNGU AMREHEMU DARU

Mtangazaji wara diojambo Massawe Japanni naye alikuwa na haya ya kusema,

WOIYE DARWESH….

Hizi hapa baadhi za hisia tofauti za mashabiki wake Lulu Hassan;

fthkiki

Continue Rip darwesh…where did Anne ngugi go to?

shiksbett

Ahmed Darwesh may he continue resting

its_swamad

Mungu amueke Pema kwenye wema Ahmed darwesh.

sakyna1

Darwesh,Allah amsahilishie katika kaburi lake,amin. Aaaaaaaa watu wametoka mbali🙌🙌🙌🙌🙌🙌

iam.andy21

I really miss The late Ahmed darwesh he was my mentor in news broadcasting

stellalesirite

Oh my. I miss Darwesh. May his soul continue resting in peace. 💜

mashdabz

😂😂😂 We used to call u small gal at KTN lol watu hukua kweli.Darwesh😢😢 may his soul rest peaceful

ludravincent

Dah jameni hiyo picha yanikumbusha marehemu Ahmed dharwesh 🤧kumbukumbu nzito@loulou_hassan dah tabasamu bomba kila wakti