(+Mistari, Video) King Kaka atangaza kuitoa ngoma ya 'Wajinga Nyinyi' YouTube

kingkakamia2
kingkakamia2
Msanii wa muziki wa kuchana King Kaka ametangaza kuwa atautoa muziki mwa Wajinga Nyinyi katika mtandao wa YouTube.

Wimbo huu unaeleza masaibu ya wakenya wanaopitia pamoja na hujuma ya viongozi.

 Katika wimbo huo wa dakika 6 na sekunde 57, King Kaka amezungumzia maovu yanayotendeka katika jamii.
Hii hapa mistari ya wimbo huo:

Dear Lord

Today I come before you

For two things

Grateful for keeping me alive

Even though unajua my day

Na kutupea wakenye Amnesia

Asante

Sisi ni Vipofu na Viziwi

Na tunajua translator wetu alishadedi

2022 already si mnajua nani ni Prezzi

Si mnajua nyinyi voters ni washenzi

Nyi hamjui mdomo yangu

Ilibatizwa na wakongwe

So unashangaa akilli zenu time ya kura

Zinajaa shonde

Na hiyo wiki ndo najua

Jirani yangu huwa Mjaka

Kamah kumbe huwanga Msapere

Hata salamu hatapata

Piga tu kura na utalala bila kula A night of tears

Nanii skiza na macho na ona na your ears

Swali

Fununu ni ati system ya education ni ya uduu

Is it true that’s why umepeleka mtoi wako akasome majuu

While graduates wanashika placards kwa traffic

Mtu wa acturial science anataka kujimada its so tragic

Swali

Ati *********** ako kwa office

na story ya NYS tulishasahau

Biro moja alibuy 8 thao

Biro tunanunuanga mbao

Either sisi ndio wajinga ama

ako na marking scheme ya Accau

Time will tell, Vijana wanabet na Kifo

Wanadai betting imewapea job kuwaliko

City stadium imekuwa renovation for 3 years

budget ziwatoshe While Sonko anadance tu kwa Ofe

Swali

 *Wajinga Nyinyi Lyrics – Part Two*

How do you sleep at night

knowing mkono yako imeua not close to purity

Wordsmith King Kaka arrested for fighting impunity

Ata wakijam na hatupati bread hawatusomi na Sikwani

Promises hamuweki hii ni relationship gani is it true

Uko na account offshore zimejaa money

Na account ya daughter ya *********** iko na depo ya 100 mita

Ukipelekwa kotini ni escort ya polisi kama sita

Ladies and gentlemen official speeh by Mbwa Mwitu

Wacha avae ngovi ya kondoo kwanza ndio tumsifu

Si basi wakam kwa church watoe pesa tulitoa kama tax

Na pastor anakiss ass, ampatie hadi asome kaverse

Na sisi tuko busy wajinga nyinyi tunaclap

Wakinisnipe tonight si mnajua ni kwa nini

Nitakufia watu mi siogopi mimi

Wasijifanye hapo watalost ata chuma u rust

Na hizo ganji hamtazikwa nazo news flash flesh urudi kwa dust

Nchi inaongozwa na thieves

Na ukiogopa jua hauwezi kuwa chief

Iba hizo mamita mko scott free niibe kuku ntalala ndani

Atleast pastor Ng’ang’a amewashinda anadanganya hadharani

Hapo parliament kwani mnashida gani simtuibie Kiplani

Mmetumiwa shetani gani na job ziko wapi

Swali ni ukweli lazima uretire ndio upate job

So inamaanisha lazima kwanza nipatie job ndio nipate job job

The youth ni ******* at 90 and *********( at 80

Manifesto mlisema job ni plenty

KQ walisamehewa deni ya 24 billion, sugar mill farms 40 bili

Na ujinga yenu mnaweka students hawajalipa kwa gazeti HELB

Wajinga Nyinyi

*Wajinga Nyinyi – Part Three*

Hizo mlango zenu vile mmebeef security hamuwezi nikubalia hodi

Remember me my mom anaitwa Wanjiku na my father is a nobody

Naskia mafuta imepanda tena

Inatoka Turkana ndio urudi tena

Hesabu ya 1 plus 1 inawachenga

Mtaenda retreat kuidiscuss tena

Na mjiongeze pesa ya tax payer tena

Laptop ni multi billion project na walimu odhago hawana lights

Wanacharge kwa generator shopping center its not right

Wasipandishe tax hizo ndio dreams mi uwa nazo nikituna

What are we really doing as a country saa zile tunachuja Miguna

Petroli imepanda so inamaanisha polisi wataoperate kama customer care

Busaa na chwara zinamaliza mayout enyewe Stivo was right

Mihadarati haiwezi, wachane na polisi wafanye raid tena

Ama ni vile OCS hajapewa yake na kila mwizi oh i mean ya kila mwezi

Na polisi wako in cahoots, hao ndio usupply wagondi na guns za kushoot

Swali Kazi ni formalities na ukiapply ina bounce

Ni ukweli KPLC wanatuwekea Bill haziko na zinaenda kwa personal accounts

Welcome to our country where politician wana ujinga za kila aina

Economy imekuwa hard hakuna kitu ya kuteremsha chai na

Karibu to the Kenya Repulic of China

I support Teachers Doctors wakistrike

Na the president is saying ati kama hawarudi watachujwa

Hakuna siri kwa nyumba

Naskia jirani bibi anakula you know what i mean

Police anaishi kwa keja zimeseperatiwa na curtains i mean 2019

Na hizo damu zitawafuata kwa coffin

Punda idedi lakini mzigo ifike

KCSE hazijafika sababu ya floods so instead wacha niulize maswali

Harambee stars wanalala kwa floor airport flani while mnahire priate jets

Swali, disaster mnakimbia kusema vile mtacreate enquiry

Is it true women rep ndio wanadishi pesa ya pads meant for girls

Maize scandal wako na matusi kwa national TV such role models

Youth unemployment

Politicians ni addicts wa pesa

**** wanatuibia ndio wapatie wezi pesa

Deadline ya tax return ni Tuesday

Jengeni tu, sips tea iko na mercury kwa shuge

Swali

Is it true war iko funded as tunaloose KDF soldiers daily so unalia

Ndio maana tumeshindwa kutoa troops somalia

Mnakula pesa ya health ndio maana mkenya hawezi afford

The moment you fall sick tunaskia unapata treatment Abroad

Na voter akidedi na Cancer Kera

Perfect opportunity atoe coffin na transport on top auze sera

Hapo ndio mras uwasha ******

In the name of treatment kuna power ni Kirusi

Moha umefunga jicho, jicho pevu ni Kipofu

********* number kumbe ilikuwa u ka scam flani

Na maraga anataka magari

Part Four

Rais unaona hapo ni wanajeshi wa Navy wakionyesha umaarufu

Wao wa vita ya kulinda nchi wakiwa kwa maji

Wajinga nyinyi while Mariam na daughter wake hajapatikana wiki mbili wako kwa maji

Sema MCSK Kutuibia

Kwa traffic uko on the wrong side ndio urush kutuibia

5 years ndio zinaisha naskia umeanza kurudi kwa ground wacha

Kupretend and all Kenyans know kwa ground vitu ni

Swali sijui ka unakumbuka mimi ndio nilikuweka hapo

Can’t see you nikaa tunacheza tapo

Swali

Ama na assume ni vile ulibuy simu uko na line mpya

Na haushikangi numbers haujui

I stopped being your friend unanitreat namna ya adui

Swali

Stadium ziko wapi? Kazi ziko wapi?

Ile manifesto iliniwow iko wapi?

Na hii handshake kwani ni ile sisi ufinya Kenyatta kwa mkono ya karao

Swali

Ata kama tuko na Kenyatta ndio maana strongly feel hatujapata Uhuru.