Mke wangu hataki tutoe 'contraceptive' Bahati na Diana waeleza haya

Huku wakizungumza wakiwa kwenye mitandao ya youtube msanii Bahati na mkewe Diana Marua walieleza kwanini Diana alilazimika kutoa mpango wake wa uzazi yaani kwa lugha ya kimombo(Contraceptive).

Wawili hao walieleza kuwa daktari alimshauri Diana aweze kutoa mpango huo wa uzazi ili awache au apunguze uvimbe mwilini mwake.

"Nataka kutoa IUD ambayo nilieka, ukiwa mwanamke utaelewa kwanini unahitaji mpango wa uzazi, nina historia kuusu uvumbe katika mguu wangu wa kushoto tangu nikiwa shule ya upili
"Tulipoenda kwa daktari alishauriwa atoe ili kuto chochote kisitendeke, mke wangu hataki tutoe contraceptive huku akisema hatuwezi ishi bila contaceptive bali mimi ni mfalme wa withdrawal." Alisema Bahati.