Ghost1

Mke wangu hulala na trousers mbili ili asinipe tendo la ndoa

 

Mbatia alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Mary akidai kuwa walikosana mwaka huu na kama haitawezekana basi amruhusu aone wanawe.

Mimi ndio nilitoka nyumbani na nikarudi mahala nafanyia kazi lakini nilirudi. Sasa kurudi nikapata wamezozana na mamangu mzazi.

Sasa ilifika wakati hadi mke wangu alianza kuninyima haki ya ndoa kwa zaidi ya mwaka kwani alikuwa analala na trousers mbili.” Alielezea Mbatia.

Mary alipopigiwa simu alidai kuwa alikasirika kwani mumewe akiondoka nyumbani Januari hurudi Disemba 23 na anakaa kwa siku kadhaa tena na kuhepa kwa mwaka mmoja tena.

Nikajiuliza huo mda wote huwa wapi? Halafu tena pale nyumbani kwao mamake hanitaki, mamake ananiita mchawi. Nikama mamayao hataki wanawe wa kiume wafunge ndoa.” Alieleza.

Pata uhondo kamili.

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments