Mke wangu wa kwanza anaonea gere mke wa pili kwa sababu amebarikiwa 'Sitting Allowance'- Wambu Muli asema

BLACK-COUPLE-SAD-facebook
BLACK-COUPLE-SAD-facebook
Wanawake huwa mnafeel namna gani mwanamume akileta mwanamke mwingine ambaye amebarikiwa 'sitting allowanc'e ama makalio makubwa kuliko yako?

Naam, mwanamume kwa jina Wambumuli sasa anaishi kwa taabu baada ya vita kuzuka baina ya mkewe wa kwanza na wa pili kwa kile inaonekana ni wivu anaomwonea mke wa pili kutokana na ukubwa wa 'Sitting allowance' zake.

Wambumuli amesema kuwa mara ya kwanza urafiki wao ulikuwa bora lakini baada ya mke wa pili kuanza kunenepa makalio makubwa, jambo hilo lilimfanya mke wa kwanza kuona gere.

Siku ya kwanza, wake zangu wote walikuwa wanaishi vyema tu japo mambo yalianza kubadilika vile mke wangu wa pili alianza kubarikiwa na sitting allowance kubwa kuliko za mke wa kwanza. Jambo hilo limefanya hata mimi nimeshindwa namna ninavyoweza kutatua mzozo huo. Amesema Wambumuli.

Ameongezea kuwa mzozo huo sasa unapekelea watoto wa pande zote mbili kuanza kuchukiana swala ambalo huenda likachangia kuboromoroka kwa familia yake iliyokuwa na mwelekeo siku za kwanza.

Kutokana na mzozo huo sasa, naona pia watoto wetu wameanza kutofautiana vikali sana ikilinganishwa na siku za pale mwanzoni. Uhusiano wao ulikuwa bora lakini tangu kuwepo na vita vya maneno baina ya mama zao, uhusiano wao pia umedorora pakubwa sana. Aliongezea

Ameongezea kuwa japo kwa mara ya kwanza alipomuoa mke wa pili mke wa kwanza alikuwa anajifanya amefurahia hatua hiyo, alikuwa na makasiriko makubwa moyoni,

my first wife doesn’t like her and that’s not a big deal, she may never like her but I like her. the second wife knows we’ve all gone home to my parents, we’ve all met and discussed it, she may not like but she knows, she is there, I have never tried to reconcile, she is more or less accepting, she doesn’t like her coz she feels she came into her marriage, the second wife ha been with me almost 12 years. Amesimulia Wambumuli

 Je, huyu bingwa afanya namna gani kusuluhisha utanzu uliopo baina ya wake hawa wawili?