emma Too

Mkenya Emma Too aorodheshwa miongoni mwa watu warembo zaidi duniani

Sio kila siku unajipata ukiwa umeorodheshwa miongoni mwa watu warembo zaidi duniani, na kwa kweli sio jambo ndogo au la kudharauliwa.

Hata hivyo, mrembo kutoka humu nchini, Emma Too aliwahi orodheshwa kama mmoja wa watu warembo zaidi mno duniani na jarida la People Magazine mnamo mwaka wa 2006.

Leo ikiwa siku ya alhamisi, Emma alichukua fursa hiyo kuwakumbusha wanawake duniani kuwa rangi nyeusi kwa kweli yang’aa.

Kupitia mtandao wa Twitter aliandika,

MY DARK-SKINNED SELF MADE IT ON 100 MOST BEAUTIFUL PEOPLE IN THE WORLD BY @PEOPLE MAGAZINE. LATELY, I HAVE BEEN READING A LOT ABOUT YOUNG WOMEN WHO HAVE INSECURITIES ABOUT THEIR DARK SKIN, PLEASE LET NO ONE TELL YOU WHO & HOW YOU SHOULD BE, BLACK IS BEAUTIFUL, LOVE YOUR SKIN.”

Kama waweza kumbuka wakati Lupita Nyongo aliorodheshwa miongoni mwa watu 50 mashuhuri walio na urembo wa kupindukia, Emma Too hakusita na alichapisha Twitter akisema,

“LUPITA NYONGO IN HER DARK SKIN MADE IT ON @PEOPLE 50 MOST BEAUTIFUL PEOPLE IN THE WORLD.
HER DARK SKINNED SELF OVERCAME HER INSECURITIES AND CONFIDENTLY FLAUNTS IT. IT’S NOT WHAT’S OUTSIDE, IT’S WHAT’S INSIDE THAT PEOPLE CAN SEE AND FEEL.”

 

 Aliandika,

Tazama baadhi ya picha zake Emma Too,

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments