Moto kama pasi! Msanii mpya Dantez atakayembandua ulingoni Diamond Platinumz

Msanii chipukizi  Daniel Simiyu  ambaye jina lake la sanaa ni   Dantez 254  ametoa wimbo mpya kwa jina ‘Nobody like You’ ambao unatesa masafa ya mitandao.

Sauti na muingilio wa ala za ngoma yake zinawiana vizuri na huenda ndio kitu kipya katika siku za hivi karibuni katika fani ya muziki  nchini.Dantez,  ni mwanafunzi wa  kidato cha pili katika shule ya  Friends Bwake High School huko Trans Nzoia  na anaimba nyimbo kama za Diamond lakini katika lugha ya kiingereza .Mtindo wake ni kama ule wa miondoko ya Rnb  ya miaka ya 1990. Wimbo huo wake ambao umetiwa katika youtube wiki mbili zilizopita  umetazamwa mara elfu mia moja

https://www.youtube.com/watch?time_continue=214&v=Kw5NH6dbDnE&feature=emb_logo

Wimbo wenyewe uliandikwa na Petra Music,  na kuunganishwa na   Mmarekani   Jason Farmer  kisha video ikapigwa na Enos Olik

Msanii  huyo amesajiliwa na  Maliza Umaskini Foundation  na alikuuzwa na mamake pekee na katika mahojiano aliofanya hapo  mbeleni alisema maisha yalinza kuwa magumu wakati babake alipoaga dunia mwaka wa 2014.

…LIFE BECAME UNBEARABLE. MY MOTHER COULD NOT AFFORD TO PROVIDE FOR US AND I RESORTED TO BEGGING. I MANAGED TO COLLECT SH3,000 AND RECORDED MY FIRST SONG MAWAZO, WHICH SUMMED UP ALL THE CHALLENGES MY FAMILY AND I WERE FACING.

Tazama majibu anayopokea kutokana na wimbo wake huo

Enzo Amore Back to the pure RnB era. Kudos

Shay Diva Hommy is a big tune

Racheal Wafula Great lovely, lyrics dopee

Bobby Mzito This is pure talent. Keep on Star