87483327_1296610630529209_666450048677182093_n

Moto sana! Angalia hii mpya kutoka kwa Nandy

Ameangiusha kibao kipya msanii wa Tanzania Nandy kwa jina  Na Nusu ambacho kimeanza kuvuruga kwa ajili ya mpigo wake mzuri wa biti na sauti yake tamu . ‘The African Princess’  hajafelisha kwani nyimbo zake hadi kufikia sasa zimweza kuwavutia wengi katika kanda hii ya afrika mashariki na kuuweka muziki wake katika ramani .Bila  shaka Nandy Ni miongoni mwa wasanii ambao wanauweka muziki wa afrika mashariki katika hadhi ya juu na kibao chake hiki Nan Nusu hakijafadhaisha .Skiza hapa

Ringtone amkemea Bahati baada ya msururu wa sakata na wasanii wenzake

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments