Moto ulizuka katika shule ya upili ya wavulana ya Starehe

unnamed
unnamed
Moto ulizuka katika  shule ya upili ya wavulana ya Starehe jana usiku na kuteketeza eneo la karakana.

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.

Hata hivyo shule hiyo inasema hakuna mwanafunzi wala mfanyakazi yeyote aliyejeruhiwa wala kuuwawa kutokana na moto huo.

Kaimu mkurugenzi Josphat Mwaura alisema , "The boys who remained at half term are gathered in a corner of the quadrangle for accounting for lives."

Tukio hili lajiri baada ya bweni la shule ya upili ya upper hill, Nairobi kuteketea wiki iliyopita.