'Mpenzi wangu amepachika wanawake wawili mimba,' Mwanamke asimulia

800px-Pregnant-woman-696x464
800px-Pregnant-woman-696x464
Mwanamke mmoja alifichua jinsi mpenzi wake na atakaye kuwa mume wake alipachika wanawake wawili mimba baada ya kuchumbiana mwaka jana.

Akieleza alisema kuwa walikuwa wafunge ndoa mwaka huu lakini haya yote yametokea.

Kupitia mtandao wake wa kijamii aliandika,

" Niko na uchungu mwingi na nimejawa na mawazo mengi, mpenzi wangu wa miaka mitatu amewapachika wanawake wawili mimbai, na tulichumbiana mwaka jana na mipango yetu ilikuwa tayari ili tufunge ndoa mwaka huu.

Mmoja wa wanawake aliowapachika mimba alinitusi mbele ya mpenzi wangu na hakusema chochote , uchungu mwingi ni pale tulikubaliana na mpenzi wangu hatutaoana mpaka pale tutafanya harusi, nasikia kujiua." Alisimulia.

Baadhi ya hisia mbalimbali zilizoibuka ni kama vile zifuatavyo;

nellyprecious_nene It’s well my sister you don’t need to take your life but move on and yours will come.

gbadecares My dear life it self is mystery . pls move on God will give you your own

sweetdiamond Move on.. I know it ain’t gonna be easy,, just move.. if u kill your self now it won’t still change anything and that you mum that isn’t strong enough na she u go put for tears so pls don’t do it,, not worth it some of them will always be dogs

mobebe Don’t kill yourself o because he will still get another girl pregnant when you die

icez_lamia That man can give you HIV Better don’t kill your self you’ve done your best,he has a serious problem.

scentsbyhz Thank God you didn’t get pregnant. It is well

khikky_1 It’s so painful, May God mend your broken heart☹️

mz_kkc It may be very depressing right now but you’ll look back in future and be grateful to God you did not marry such a person. God is your strength

official_queenta Move on sist… God just saved you from entering the wrong marriage.. it hurt, but be strong