Msanii Ringtone ajitolea kumfanyia Willy Paul jambo hili

8C1k9kpTURBXy9hNDE2YjIyZWM2ODNmMjA0MmZjYTg2MTY3YjBkZGMwNy5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
8C1k9kpTURBXy9hNDE2YjIyZWM2ODNmMjA0MmZjYTg2MTY3YjBkZGMwNy5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
Msanii wa nyimbo za injili Ringtone Apoko amejitolea kumrudisha na kumuombea Willy Paul aokoke tena. Kupitia mitandao ya kijamii ya instagram, Ringtone alisema atajitolea kufanya jambo hilo bure.

Msanii Willy Paul alikuwa anaimba nyimbo za injili lakini baada ya muda akabadilika na kuanza kuimba nyimbo za kidunia. Msanii huyo alikuwa anaendelea vyema alipokuwa anaimba nyimbo za injili lakini muda utatuambia baada ya kuhama kama atafikiria mara mbili kama atarudi kuimba nyimbo za injili.

"WILLY POSSESED POZZE LEO NI JUMAPILI KUMBUKA PLACE GOD ALIKUTOA U CAN CALL ME TO COME AND READ INTO SALVATION AGAIN. PLEASE THINK OF THIS🙏🙏🙏🙏🙏." Ringtone Aliandika.

Mashabiki wake walikuwa na mengi ya kuzungumza huku wengi wakisema ni jambo nzuri la kufanya huku wengi walimuuliza iwapo yeye ni mtumishi wa Mungu kama anavyosema na kwa nini tu msanii Willy Paul.

: Why willy paul?? just ask all Kenyans to remember that God one who is alpha and Omega, spread the gospel to everyone,wacha kutoa mtu maneno kwa mdomo

: Pia. Mm nataka salvation call me 0713210571

: Kaabisaaaa......halleluyah

: Boss are you really man of God Or just an imposter

: kamuombeee😂😂😂😂

: Unachoma bro🤣🤣🤣🤣