Msiamini! KRA yakana madai kutoza kodi mahari

kra (1)
kra (1)
Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini, KRA impeuzilia mbali tuhuma kuwa wanapanga kutoza ushuru mahari ili kuongeza mapato.

Hii ni baada ya ripoti hiyo kuchapishwa kwenye tovuti moja humu nchini ikidai kuwa mamlaka hiyo inazungumza kuhusu hayo na watatoa habari pindi tu watakapokubaliana.

Isitoshe mamlaka hiyo ilisema kuwa wakenya wengi huepuka kulipa ushuru na hilo hupelekea Kenya kupoteza takriban kitita cha bilioni 15.

Kupitia mtandao wa Twitter, KRA waliandika;

Hii story hata sisi tumeiskia tu;

https://twitter.com/KRACorporate/status/1202110605953576961

Wakenya nao hawakuwachwa nyumwa na ifuatayo ni baadhi ya maoni yao kuhusu haya:

Stanoh Mwas: Saw this early morning , Thanks 4 rendering it fake... was just wondering if it's enacted then every bridegroom automatically becomes a withholding tax agent? nkilipa mbuzi kumi, then moja naleta times towers

Wise bizna: Relieved. For once I thought I am gonna end up single and alone in this life

Mr. Wambui: Ahh.... I thought ningekuwa agent wenyu kila weeeked niko pale Kenol taxing them guys our guys.

Peter Musalia: I was planning to came with four fowls in your kakamega office to clear mine

Jared: Nkt vile nilikuwa nimepata excuse ya kulipa pesa kidogo na kusema ingine tax imekula

Bush master: Kama kuna place moja maze mnezapata ushuru kibao ni weed, hebu gava i legalise weed uone venye deni ya China italipwa na 24 months

Miss Bowre: Imgn chali yangu alikuwa anioe so ashaniacha juu ya hii stori. Itakuaje sasa😪😏🤔