Msijaribu kuwachumbia wanamuziki! Msanii Wangechi awashauri mashabiki.

Msanii Wangechi amejitikeza hadharani kuwashauri mashabiki wake wasijaribu kuwachumbia wanamuziki au hata kuwa katika uhusiano wa kimapenzi nao.

Kupitia mtandao wake wa kijamii aliandikaa, “Dont date musicians.”

Muthoni drama queen alimuunga mkono Wangechi na kuandika; “Facts 100”

Muigizaji Ojiambo alithibitisha maneno hayo na kuandika

“i have been single 16 years too complicated, relationship are not easy.” Alisema.

Mmoja wa mashabiki wake alimuuliza.”including you?

Wangechi hakusita alimpa bonge la jibu

“Yes Including me.” Wangechi Alijibu.

Wengi walitoa maoni yao na kusema watu ambao wamesomea taaluma tofauti hawapaswi kuchumbiwa huku wengi wakisema sanasana wapiga picha.

Lakini KOT ni akina nani wanyamaze, walijibu Wangeshi na haya hapa majibu yao

@KibetKigen_: So when I see you in my DM…I run I run…or I give up give up 😂😂😂

@riscpek: Who is supposed to date them??

@NarcosTacos: You can never own anyone, just shared experiences. That’s all.‏

@Hanstilen: I want to date you hehehehe

DJ Presley 254: Why? Na vile I have A crush on you? 😭😭😭😭

@_pepper5: Cause all they do is focus on singles.

@afric_anah: Celebrities as per say if you ain’t strong enough..they are taken as trophies by everyone and temptations will be many…

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO‏