Msanii huyo amefanyiwa masimango na kejeli baada ya rapa Khaligraph Jones kutoa wimbo wake ambao ulimtaja Bahati kama ‘Mtoto wa Diana’ .
Bahati alijaribu kuteka mawimbi ya wimbo huo kwa kutoa picha iliyomuonyesha akiwa amebebwa na Diana na hivyo kweli alifaulu kupepezea chini kejeli ambazo zingemfuata. Lakini alipoamua kuvalia kama mwanamke na kushiriki shindano la Tik tok na Diana, Bahati alifungua bomba kubwa la kufanyiwa mzaha na huenda hakutarajia mlipuko wa hisia kama hizo
Haya hapa baadhi ya maoni ya wanamitandao
namelesskenya Woiiii…bhangi hiyo haikuwa imekauka vizuri… ♂️♂️
jalangoo Umechizi
djjoemfalme Bro nilishakushow. Turudi EMB buda….Ama nikustaki kwa @akotheekenya. Hii energy turudishe kwa kazi
akotheekenya Nitahama hii Kenya haki
clemmo25 Corona itatuonyesha mengi!!
gabu_bugubugu Umama umekuingia sasa. Happy mothersday
mzaziwillytuva Mwezi wa mfungo umeanza Tuzidishe #Maombi
dansonko Vitu kama hizi ndio zimefanya tuongezewe 21 days zingine aki!
wesleytheedj Uko sawa buda?
weezdom254 Unakaa tule tudem hukula fare
yycomedian Halafu unapata tu kuna mwanaume wa Cameroon atanyonga na hii video bila kujua ni ndume…
felistarbrigita mtoto wa dayana sasa utakuwa mama dayana
munju_ree bahati umeanza umama
goldshine___ Vipe tena bahat ushakuwa dulla makabila