Mtoto wake Lilian Muli asherehekea siku yake ya kuzaliwa

Liam Francis mtoto wake Lilian Muli, alikuwa anasherehekea siku ya kuzaliwa kwake siku ya Jumapili, na miongoni mwa waliohudhuria ilikuwa babake Liam.

Lilian Muli aliwashangaza watu alipoiweka picha ya baba ya mtoto wake kwenye mtandao wa Instagram.

Aliandika na kusema,

Daddy and Toto. Liam Francis...

Mashabiki wake Lilian Muli waliendelea na kuyatoa maoni yao na kusema,

 Mimi na udaku yangu hata sioni Liam. Nimeinamisha kichwa nione sura ya babake.. Poor me😁

 Verified❤️❤️moments only 💪

 Kako na nyuma😂😂😂beautiful Toto and dad👌

 Kelitu nguo isu mbiiye mwa..very👌🔥

Baadhi ni picha za sherehe hiyo