Mtu na mali yake! Tazama picha za kupendeza za Babu Owino na mke wake

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino ni mwanasiasa ambaye hakosi vituko lakini katika ujana wake, wakati mwingine anajiachilia kwa uzito na kutuonyesha maisha yake kama mume .

Ameziweka mtandaoni picha zake akiwa na mkewe Frida Muthoni. Wapenzi hao wawili  wapo katika mkwatuo wa kuvutia na katika mojawapo ya picha hizo Babu amembeba mkewe .Penzi tamu kweli ...Tazama

Babu  na mkewe Frida .

Penzi moto: Babu akimbeba mkewe .

Macho kwa Macho: Macho yangu yanakuona tu wewe ..