‘Muachane na Diamond, ni mtu mkarimu na mzuri.’ Wema Sepetu ajitokeza kumtetea Diamond baada ya kushambuliwa na Zari

Aliyekuwa Miss Tanzania Wema Sepetu  bado anampenda mpenzi wake wa zamani msanii  Diamond Platnumz.  Hapajakuwa na uhasama kati yao tangu walipotengana mwaka wa 2014.

Siku chache zilizopita mama wa watoto wawili wa Diamond  Zari aliamua kutumia mitandao ya kijamii kumshambulia nyota huyo kwa kutowajibikia maslahi ya watoto wake kwa kuandika mitandaoni.

… Hujui watoto wako wanakula nini na jinsi wanavyolala au hata karo ya shule  na malipo ya matibabu yanatoka wapi . Hutawahi kuufurahisha ulimwengu mzima iwapo huwezi kujipa furaha  na watu wa damu yako wanahangaika. Unachouza ni uongo, wengine mmekuwa kama wanasarakasi kwetu

Akizungumza kuhusu  madai ya kuwatelekeza watoto wake, Diamond amesema anapanga kuwasaidia watoto wake na anazungumza na wakili wake kuhusu hilo .

YOU KNOW WHEN YOU ARE IN A RELATIONSHIP WITH KIDS, THERE IS SOME BITTERNESS LEFT. AND THAT BITTERNESS IS ESPECIALLY WITH WOMEN SINCE THEY ARE THE ONES LEFT WITH KIDS. I SAW THE POST AND BEFORE THEN WE HAD BEEN TALKING THROUGH OUR LAWYERS. BUT I TEXTED HER AND TOLD HER THAT SHE WAS MY CO-PARENT AND THAT HER RESPECT MEANS ALOT TO ME…. SHE GAVE ME MY FIRST KIDS AND NO MATTER HOW MUCH WE DIFFER MY VALUE FOR HER WILL NEVER GO DOWN. I TOLD HER THERE IS NO NEED OF PUTTING SUCH POSTS ON SOCIAL MEDIA SINCE IT IS PORTRAYING SUCH A BAD PICTURE. WE TALKED AND EVERYONE PUT THERE ISSUES ON THE TABLE. WE THEN AGREED MAYBE THERE HAD BEEN A MISCOMMUNICATION BETWEEN OUR LAWYERS,’  alianika mwimbaji huyo

Aliongeza

I THANK GOD AND AM HOPING THAT AFTER CORONAVIRUS PANDEMIC, OUR CO-PARENTING WILL IMPROVE.

https://www.instagram.com/p/B_cqoQ7nvTG/

Wema  naye aliamua kuitumia fursa hiyo kumlimbikizia Diuamond mapenzi na sifa kwa kuandika

WANASEMA UNAPOTOA NA ALLAH PIA ANAKUONGEZA PALE ULIPOPUNGUKIWA… KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHAN BASI AENDE AKAKUONGEZEEE MARADUFU… KUTOA KWELI NI MOYO NA SIO UTAJIRI… MAANA KAMA INGEKUA NI UTAJIRI BASI NINA IMANI WANGEFANYA MADON WEEEENGI HAPA MJINI BUT WHY YOU?’ SHE WROTE IN PART.

Aliongeza

I HAVE ALWAYS KNOWN YOU TO BE A SWEET & CARING PERSON FROM DAY 1… KUKUMBUKA ULIPOTOKA NI MOJA KATI YA SIFA ULIZONAZO NA KWENYE NYIMBO PIA ULISHAWAHI KUTUAMBIA KUWA , “NA BATA UNAKULAGA WEE NA RAFIKI ZAKO, NA KUCHEZA REGGAE NA MASKINI WENZAKO…” HICHI UNACHOENDA KUFANYA NI ZAIDI YA BATA NA REGGAE… MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI… UNASTAHILI DUA ZA KHERI NA BARAKA NYINGI NA NINA UHAKIKA TAYARI UNAZO NA UNAENDA KUZIPATA NYINGI ZAIDI NA ZAIDI CAUSE YOU DESERVE IT…NIMEJIFKIRIA SANA KUPOST HII KITU ILA KILA NIKIWAZA NISIPOST, NAFSI INANIFURUKUTA. GOD BLESS YOU NASEEB…!!! @DIAMONDPLATNUMZ .

Diamond alimjibu Wema kwa kuandika ;

SHUKRAN SANA SANA MADAM….MWENYEZ MUNGU AKUONGEZE ROHO YA UPENDO, NA UTHAMANI