Muhoro, Serem hatimaye watangazwa kupata kazi ya ubalozi

muhoro ndegwa
muhoro ndegwa
Subira kweli uvuta heri na waswahili hawakukosa waliposema kuwa atafutaye hachoki akichoka keshapata. Baada ya miezi 8 ya kungoja aliyekuwa mkubwa wa uchunguzi wa makosa ya jinai Ndegwa Muhoro ni miongoni mwa walio hatimaye tangazwa kufanya kazi katika ubalozi.

Miongoni mwa waliotangazwa ni pamoja na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mishahara na malipo Sarah Serem aliyeteuliwa na rais Uhuru Kenyatta mwaka uliopita.

"Leo nafanya mkutano wa mwisho na kuwaaga balozi na balozi wajibu wa China, Turkey, Qatar, ambao watakuwa wakiondoka kwa muda mfupi kwa vutuo vyao," Aliandika katika mtando wake wa twitter katibu wa baraza la mawaziri wa mambo ya nje.

Juni, 24, 2018 Rais Uhuru Kenyatta aliweza kutuma majina ya wateuliwa tisa wa balozi, na wakuu wawili makatibu katika bunge ili yaweze kupitishwakatika mvurugo wake wa kwanza.

Muhoro na Serem wakiwa wakuu wa ubalozi.

Muhoro alitoka katika sekta ya uchunguzi wa makosa ya jinai baada ya utata wa umiliki kwa miaka saba ili kuchukua nafasi ya Samori Ang'wa okwiya eneo la Kuala Lumpur.

Serem atachukua nafasi ya Denis Mukiri Kinyanjuiwa Beijing baada ya kufanya kazi na sekta ya (Teachers Service Commision) kwa takriban miaka sita.

"Baada ya Rais kufanya utezi wa umma, wizara ya mambo ya nje inapaswa kuandikia nchi meneja aliyeteuliwa

"Na kisha kutuma majina hayo mapya, nchi itafanya wasifu na kutia bidii kutokana na mtu aliyeteuliwa kabla ya kurudi tena serikalini," Afisa wa wizara alisema jumapili.

Kulingana na maafisa wa MFA nchi za nje zinaweza kumkubali aliyeteuliwa.

Wengine waliomo katika uteuzi ambao wanategemea waliokuwa watumishi wa umma na wanasiasa waliondelewa ni Kasipul Kabondo mbunge Paddy Ahenda (Qatar) na Johnson Kimani (Turkey).

Hata hivyo hatima ya Peter Ogego Oginga (Saudi Arabia), Chris Karumba Mburu (Juba) na Benjamin Langat (Namibia) bado haijajulikana.