Mume wangu aliumia niliposhtumiwa kwa kutokuwa na mtoto-Kambua

88164918_252876419074630_6387624533182581057_n(1)
88164918_252876419074630_6387624533182581057_n(1)
Kupitia mtandao wa kijamii msanii wa nyimbo za injili Kambua aliandika ujumbe wa kuwatia wengi moyo na hata kueleza jinsi alivyopitia mengi na hata kukosolewa na wengi alipokuwa hajabarikiwa na mtoto.

Baada ya miaka saba katika ndoa, Kambua alibarikiwa na kifungua mimba tarehe10/08/2019, huku akijifungua kwa njia ya upasuaji.

"FOR ABOUT TWO YEARS WE WERE FOCUSSED ON SETTLING AND ADJUSTING TO BEING MARRIED BEFORE WE STARTED A FAMILY, BUT THE PRESSURE STARTED ALMOST IMMEDIATELY." Kambua Alisema.

Kambua alimsifu na kumshukuru mumewe kwa kuwa naye alipokuwa akikejeliwa na mashabiki wake,

"IT’S NORMAL TO FEEL A CERTAIN LEVEL OF DISAPPOINTMENT BUT I’M BLESSED TO HAVE A VERY STRONG HUSBAND BECAUSE AS MUCH AS SOCIETY BLAMED ME, HE CARRIED THAT BURDEN WITH ME. IT HURT HIM THAT I WAS BEING CRITICIZED AND PUT ON THE SPOT FOR NOT HAVING CHILDREN AND WOULD CONSTANTLY ENCOURAGE ME, SHE NARRATED." Alizungumza.

Aliongeza usema kuwa mbali na kukosolewa na kukejeliwa kwa kutokuwa na mtoto aliweka imani yake kwa Mungu. Alisema wengi wa waliokuwa wakizomea ni wanawake wenzake.

"I LEARNT THAT PEOPLE, IN GENERAL, ARE VERY INSENSITIVE AND UNKIND TO COUPLES WITH FERTILITY ISSUES OR HAVE HAD A LONG WAIT. YOU’D IMAGINE THAT THE FIRE WOULD COME FROM MEN BECAUSE WOMEN WOULD BE MORE UNDERSTANDING, BUT IT WAS ALMOST IN EQUAL MEASURE AND SOMETIMES WOMEN WERE THE ONES WHO FANNED THOSE FLAMES." Alieleza.