Mume wangu hunusa 'nunu' yangu kuangalia kama nimeshiriki 'Pekejeng' na mtu mwengine.

Waswahili  hawakukosea waliposema ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, mwanamke mmoja aliyefahamika kama Eve alisimulia jinsi mume wake hunusa 'nunu' yake kwa miaka,17,  ilikuangalia kama huwa anashiriki ngono na mwanaume mwingine.

Alieleza na kusema hamna kitu chochote ambacho kinaweza mtenga na tabia hiyo yake ya kumnusa kila siku haswa  wakati anaporudi nyumbani.

"Nimekuwa katika ndoa kwa miaka kumi na saba, na shida yangu kubwa ni kuwa mume wangu hunusa 'nunu' yangu kila siku ili kuangalia kama nilishiriki ngono na wanaume wengine

Licha ya kuwa katika ndoa kwa miaka kumi na saba na kubarikiwa na watoto wanne, amekuwa akifanya kitendo hicho bila ya kusita wala kufikiria mara mbili anachofanya." Eve Alizungumza.

Kwa machozi aliongeza na kusema,

"Kulingana na mume wangu ananishuku, kwa sababu ameandikwa kazi na mimi nafanya vibarua hapa na pale

Akiniona na pesa kidogo uwa anaanza tabia yake ambayo inahudhi, kitambo alikuwa ananichapa akiniona na pesa

Nilipomripoti katika kituo cha polisi alijaribu kubadilisha tabia yake." Alisimulia.

Je ni mambo yapi ambyo wanwake hupitiakewenye ndoa n kunymazi tu?.

Eve aliendelea na mazungumzo yake na alikuwa na haya ya  kuongeza,

" Uwa analeta wanawake kwa nyumba kwa muda wa siku mbili au tatu ili nikae na wao, baada ya hapo wanaenda na kisha kuleta wengine na mtindo huo unaendelea hivo

Naishi tu na yeye kwa sababu ya watoto wetu, nitaenda wapi na watoto wanne na vile hamna kazi nchini na bado ni Nairobi majukumu ni mengi." Alieleza Eve.

Ni jambo gani ambalo ulifanya katika maisha yako kwa madai kuwa unampenda mpenzi wako ilhali ni wewe unaumia na kifilisika?