‘Mume wangu mwoga hajui kufanya mapenzi!’Mwanamke apasua mbarika

woman
woman
Wanaume  wanapenda kusifiwa sana na mara nyingi wakati udhaifu wao katika  masuala ya  tendo la ndoa unapofichuliwa basi inakuwa  balaa sana .

Hilo halijamzuia mwanamke mmoja kuandika katika kundi moja la facebook mitandaoni kwamba hatoshelezwi na mumewe katika tendo la ndoa .Amefanya ufichuzi ambao jamani huenda utamkosesha  usingizi mwenzake lakini pia ufichuzi huo una mambo mengi tu ambayo wengi tunaweza kupata funzo . Ameandika katika kundi hilo akisema

 

‘ Bwanangu  haniridhishi na yeye hupenda tufanye mapenzi gizani . Baada ya dakika mbili yeye hulala na kuniacha nikiwa bado na hamu. Guys is this normal ama shida ni mimi?’Ameandika akitaka usaidizi kutoka kwa wanachama  wengine wa kundi hilo la facebook .

Watu wengi katika kundi hilo wamemtaka atafute ushauri wa daktari pamoja na mumewe kwani huenda kuna tatizo la mawasiliano kati yao . Mwanamke huyo amedai kwamba wakati mwingi mumewe ana soni na hakuna siku ambayo ameitisha mapenzi kutoka kwa mkewe na ni yeye tu ambaye huanza safari hiyo ya kusakata tunda.

‘Most of the times  i'm the one who initiates sex,he’s making  me feel like an addict. This is too much and I cant take anymore’  Ameandika

Kinachojitokeza bayana katika  lalama zake ni kwamba mume wake ni mtu mpole na ana aibu kuhusu mambo ya ngono . Mwanamke huyo kwa upande wake ni mtu mashahari na anazungumza sana  jambo ambalo huenda pia linachangia kuvuruga uhusiano wao katika bedroom . Mambo ya chumba cha kulala hutaka  maelewano na uwazi wa kuweza kuyazungumza masuala yenu kwa utulivu lakini kasi ya mwanamke huyo  ya kufoka maneno na kutoweza kugudua tatizo huenda pia ni kiini cha yanayomsibu .

 ‘ .. I’ve tried talking to him about the possibility of seing a therapist but he doesn’t seem bothered.This is what pisses me off even more’…Ameandika mwanamke huyo .

Kawaida ya wakenya ,kuingiza mchezo hata katika mambo mazito baadhi ya wanaume katika kundi hilo walimtaka mwanamke huyo awape nambari yake wakijigamba jinsi watakavyoweza kumridhisha kitandani .