Mungu hakupi vyote! Wema Sepetu afichua hofu yake

wema sepetu
wema sepetu
Mwanasosholaiti Wema Sepetu amefichua ukosefu  wa usalama wa miguu yake kupitia kwenye mitandao ya kijamii alieleza jinsi ilivyokuwa vigumu kwake kujikubali licha ya kuwa na miguu konde.
"TAHADHARI JAMANI NATOA… SIPENDI KUSEMWA MIGUU YANGU… MAANA MWENYEWE NAJIJUA MIGUU MIZURI SIKUBARIKIWA REASON HAMNIONI NIKIJI ASSOCIATE NA VITU VYA KUREVEAL MAMBO ZA HUKO CHINI…😂😂😂 NDO MAANA WANASEMA MUNGU HAKUPI VYOTE… BASI NIKIJIJUA MWENYEWE YATOSHA KWANI LAZIMA MNIAMBIE…"

Wema hakutia kikomo bali alikuwa na haya ya kunakili,

"WENGINE MNASEMA UKUTE MIGUU ZENU NI VITU MBAYA SANA PIA…🤦🏼‍♀️🤨 HAYA NDO MIGUU ZANGU HIZO APO MEZIONESHA… ENDELEENI KUSEMA SASA… 🤣🤣 NMEANDIKA HII CAPTION NACHEKA SANA KWAKWELI… SEMA KIUKWELI KWA MIGUU HAPANA.. SIO MAJAALIWA YANGU…🙈🙈🙈." Alizungumza Wema.

Mapema mwaka huu aliwaacha wengi midomo wazi baada ya kupoteza kila 50.