Mungu halali! Akothee asimulia alivyofukuzwa Uswizi akiwa mja mzito

akothee
akothee
Msanii maarufu humu nchini na anayetambulika kama msanii mwenye pochi nene zaidi au ukipenda, mwenye hela sio haba, Akothee kwa kweli amepitia milima na mabonde maishani mwake.

Akothee kwa mda sasa amekuwa akijitambulisha kama rais wa kina mama wasiokuwa na waume au wasiokuwa kwenye ndoa, na mara kwa mara husimulia masaibu yaliyomuandama hapo awali haswa alipokuwa akitafuta mapenzi.

Usimulizi huu yeye huufanya kwenye mitandao yake ya kijamii.

Akothee alifunguka mwanza mwisho kuhusu jinsi alivyofurushwa kutoka Uswizi na mpenziwe mwenye miaka 50, akiwa na mimba ya miezi tisa!

Aliandika,

I HAVE NEVER ALLOWED MY CHALLENGES TO COVER MY BEAUTIFUL SMILE, NO ONE KNEW I WAS THROWN OUT OF SWITZERLAND 9 MONTHS PREGNANT TO COME BACK TO AFRICA, HIS EXACT WORDS ‘GO BACK TO AFRICA I HAVE NO TIME, ENERGY TO TAKE CARE OF YOU. I AM NOT READY FOR A FAMILY NOW, YOU HAVE TOO MANY CHILDREN, AND A MAN CAN NOT FALL IN LOVE AT 50.’

THESE WORDS PENETRATED DEEP INSIDE MY STOMACH. I SOUGHT ADVICE FROM PEOPLE I KNEW IN EUROPE BUT NONE WAS MAKING SENSE TO ME.

1. ‘Throw away your passport and no one will get you out of this country,’ I was told. At the back of my mind, I was thinking about my 3 helpless girls back in Mtwapa, Bahari parents boarding school, they needed me more than I needed the swiss papers.

2. ‘Go report him to the government so they will put you in a house called “frauenhouse”, give you food and accommodation until the baby comes then the baby will have a Swiss passport and no one can kick you out of Switzerland,”. I thought for so long and told myself I didn’t commit any crime back at home, I still have my rented house at punda Milia in Shanzu, I will go back home join my kids and live in Africa than stay in jail in the name of (people will laugh at me).

Aliendelea,

EVEN DURING THIS TIME I HAD WOMEN WHO WERE JEALOUS OF ME, HATED ME THINKING I WAS LIVING LARGE AND BETTER LIFE THAN THEM. THEY EVEN WENT AS FAR AS SLEEPING WITH MY BABY DADDY . I PRETENDED ALL WAS WELL LITTLE DID THEY KNOW THE PAIN OF REJECTION I WAS GOING THROUGH.

I NEVER TOLD ANYONE MY JOURNEY OR PAIN, EVEN MY OWN CHILDREN DIDN’T KNOW ANYTHING, NOT EVEN MY FAMILY. THEY ONLY SAW A STRONG HARD-WORKING TAXI DRIVER, WHO NOW OPENED A RESTAURANT/ BAR ( THE STOMP 196 IN SHANZU I STILL DON’T KNOW HOW I CROSSED THE BRIDGES AND ARRIVED AT MADAMBOSS.

Huku akiwashauri wanawake wanaopitia masaibu kama yale aliyoyapitia wakti ule, msanii huyo wa wimbo wa ''Sweet love' alisema kuwa wanapaswa kufahamu kuwa wana chaguo moja tu, kujipa moyo.

Akothee pia aliendelea akisema kuwa hilo lilikuwa chanzo au sababu kuu yake kukosa tamaa ya kuishi bara Uropa.

SOMEWHERE, SOMEHOW WHAT WORKED FOR ME, MIGHT NOT WORK FOR YOU, YOU ONLY HAVE ONE OPTION LEFT BE STRONG .WHAT DOESN’T KILL YOU MAKES YOU STRONGER! AND THAT’S HOW I LOST MY THIRST FOR LIVING IN EUROPE! I ADORE AFRICA, IT HAS MY ROOTS, WHERE MY UMBILICAL CORD WAS BURIED..”

Mama huyo wa watoto watano aliwahi fikishwa mahakamani na baba wa mtoto wake wa nne, mzungu ambaye alitaka kupewa ulezi kamili wa mwanao. Hata hivyo, Akothee alishinda kesi ile.

https://www.instagram.com/p/B5YAmj0HmSy/