Mungu ni mkuu,' Betty Kyallo asema mwanawe amepona kabisa

Betty kyallo sasa ni mama ambaye ana furaha tele baada ya kupitia changamoto mwaka wa 2019 baada ya mwanawe kuwa katika kitengo cha utunzaji mkubwa kwa muda wa miezi nne.

Mwanawe Betty alipatikana na ugonjwa wa autoimmune na kulazwa katika hospitali kuu ya Nairobi, kwa mara ya kwanza Betty alifichua afya ya mwanawe mwaka jana kupitia mtandao wa kijamii.

Ujumbe ulioenea sana katika mitandao ya kijamii,

"EARLY THIS YEAR MY SWEET LOVELY DAUGHTER IVANNA WAS DIAGNOSED WITH A RARE AUTOIMMUNE DISEASE. IT WAS MARKED BY A SUDDEN WIDESPREAD ATTACK OF INFLAMMATION IN THE BRAIN AND SPINAL CORD CALLED ADEM (ACUTE DISSEMINATED ENCEPHALOMYELITIS). BASICALLY THIS DISEASE DAMAGES THE PROTECTIVE COATING OF THE NERVE FIBERS CALLED MYELIN THAT ACT AS CONDUCTORS TO ALL MUSCLES FOR BASIC HUMAN FUNCTIONALITY. WHAT THIS MEANS IS THAT ONE DAY MY BEAUTIFUL FOUR-YEAR-OLD DAUGHTER STOPPED WALKING, SOON STOPPED TALKING, SOON STOPPED EATING SOON WAS SO DROWSY COULDN’T KEEP HER EYES OPEN AND THEREAFTER WENT INTO A DEEP COMA THAT SHE HAD TO BE TAKEN TO ICU AND PUT ON LIFE SUPPORT FOR A WHOLE MONTH. FOR THE LARGER PART OF HER DIAGNOSIS DOCTORS COULDN’T EVEN FIGURE OUT WHAT WAS WRONG

WITH HER. WE DID NUMEROUS TESTS LOOKING AT EVERY ORGAN AND BLOOD BUT FOR A LONG TIME OF HOSPITALIZATION IN NAIROBI HOSPITAL CHILDREN’S WARD WE COULDN’T FIND IT. ALL THE WHILE SHE KEPT DETERIORATING EVERY DAY LOSING ONE FUNCTION AFTER ANOTHER. TODAY SHE COULD TALK THE NEXT DAY SHE COULDN’T MAKE A SENTENCE. ETC. THANKS TO GOD AND THE BRILLIANT DOCTORS THAT WERE SO KIND AND GRACIOUS IN THEIR WORK AND HOW THEY DILIGENTLY TREATED MY DAUGHTER." Aliandika Betty.

Hesabu nya hospitali ilienda mpaka millioni tisa huku betty na babake Ivanna Dennis Okari wakilipa hesabu hilo pamoja na marafiki.

Betty alipost picha ya mwanawe katika mtandao wa kijamii, na mmoja wa mashabiki wake wakamuuliza kama mwanawe amepona kabisa na kujibu amepona.